Thursday, December 4, 2014

LAANA HII PICHA ZA CHUMBANI, JIONEE JIMAMA LILIVYO JIANIKA ..MPAKA INAKUWA AIBU KUONA

Haya mambo ya utandawazi mpaka kwa watu wazima tena wenye heshima zao, Mcheki huyu mama mtu mzima na yeye bila aibu ameanika mapaja yake bila kuzingatia maadili yoyote  amepost picha za chumbani kwenye mitandao?




Hivi sasa swala la kupost picha za ajabu zimekuwa kawaida sana kupostiwa mara wabinue makalio yao mara midomo yao, mara maziwa nje nje hii imekuwa kero kwa watu wastaarabu kama siye siyo kwamba wote tunafurahia ujinga huu baadhi tunachukia maana humu kuna wazazi wetu.Ebu badilikeni dada na mama zetu mnatudhalilisha siye watoto wenuuu tumechokaa kuona mapaja na makalio yenu.


0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2012 JI2ME BROTHER'S All Right Reserved
Designed by JD News24. And Ji2me.ComUnder care of Ji2me Brother's